Yohane 7:37
Yohane 7:37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya mwisho ya sikukuu hiyo ilikuwa siku maalumu. Yesu alisimama, akasema kwa sauti kubwa, “Aliye na kiu na aje kwangu anywe.
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.
Shirikisha
Soma Yohane 7