Yohane 7:34
Yohane 7:34 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja.
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.”
Shirikisha
Soma Yohane 7