Yohane 15:2-3
Yohane 15:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi. Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
Shirikisha
Soma Yohane 15