Yohane 1:9-11
Yohane 1:9-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Huu ndio mwanga halisi, mwanga unaokuja ulimwenguni, na kuwaangazia watu wote. Basi, Neno alikuwako ulimwenguni, na kwa njia yake ulimwengu uliumbwa, lakini ulimwengu haukumtambua. Alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:9-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu. Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:9-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yohane 1