Yeremia 51:56 - Linganisha Matoleo Yote
Yeremia 51:56 BHN (Biblia Habari Njema)
Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Shirikisha
Yeremia 51 BHNYeremia 51:56 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana BWANA ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Shirikisha
Yeremia 51 SUVYeremia 51:56 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana BWANA ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Shirikisha
Yeremia 51 SRUVYeremia 51:56 NEN (Neno)
Mwangamizi atakuja dhidi ya Babeli; mashujaa wake watakamatwa, nazo pinde zao zitavunjwa. Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa kisasi, yeye atalipiza kikamilifu.
Shirikisha
Yeremia 51 NEN