Yeremia 17:10
Yeremia 17:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Mwenyezi-Mungu hupima akili na kuchunguza mpaka ndani ya moyo wa mtu. Na hivyo humtendea kila mmoja, kulingana na mwenendo wake, kadiri ya matendo yake.”
Shirikisha
Soma Yeremia 17Yeremia 17:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 17Yeremia 17:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 17