Yakobo 4:7-8
Yakobo 4:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni. Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. Osheni mikono yenu enyi wakosefu! Safisheni mioyo yenu enyi wanafiki!
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Shirikisha
Soma Yakobo 4