Yakobo 4:6-7
Yakobo 4:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, neema tunayopewa na Mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo Maandiko: “Mungu huwapinga wenye majivuno lakini huwapa neema wanyenyekevu.” Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Shirikisha
Soma Yakobo 4