Yakobo 4:6,10
Yakobo 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, neema tunayopewa na Mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo Maandiko: “Mungu huwapinga wenye majivuno lakini huwapa neema wanyenyekevu.”
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyenyekeeni mbele ya Bwana, naye atawainueni.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi; kwa hiyo husema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yak 4:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza.
Shirikisha
Soma Yakobo 4