Yakobo 4:15-16
Yakobo 4:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.” Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi. Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya.
Shirikisha
Soma Yakobo 4