Yakobo 4:14-15
Yakobo 4:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi hamjui hata maisha yenu yatakavyokuwa kesho! Nyinyi ni kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi tu na kutoweka tena. Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.”
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa muda mfupi tu, kisha hutoweka. Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi.
Shirikisha
Soma Yakobo 4