Isaya 7:1
Isaya 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mfalme Ahazi mwana wa Yothamu na mjukuu wa Uzia, alipokuwa anatawala Yuda, Resini, mfalme wa Aramu, na Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli, waliushambulia mji wa Yerusalemu, lakini hawakuweza kuuteka.
Shirikisha
Soma Isaya 7Isaya 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ikawa katika siku za Ahazi, mwana wa Yothamu, mwana wa Uzia, mfalme wa Yuda, Resini, mfalme wa Shamu, na Peka, mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli, wakapanda wakaenda Yerusalemu ili kupigana nao, lakini hawakuweza kuushinda.
Shirikisha
Soma Isaya 7Isaya 7:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 7