Isaya 59:20
Isaya 59:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Mkombozi atakuja Sayuni, kwa wale wa Yakobo wanaozitubu dhambi zao,” asema BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye atakuja Siyoni kama Mkombozi, Mkombozi wa wazawa wa Yakobo ambao wataachana na makosa yao. Asema Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 59