Isaya 59:2
Isaya 59:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Shirikisha
Soma Isaya 59