Isaya 59:19
Isaya 59:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Toka magharibi hadi mashariki, kila mtu atamcha Mwenyezi-Mungu na kutambua utukufu wake. Maana atakuja kama mto uendao kasi, mto unaosukumwa kwa upepo wa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, wataliogopa jina la BWANA toka magharibi, na utukufu wake toka maawio ya jua; maana yeye atakuja kama mkondo wa mto ufurikao, uendeshwao kwa pumzi ya BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 59