Isaya 59:1
Isaya 59:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Msifikiri mkono wa Mungu ni mfupi, hata asiweze kuwaokoeni; au masikio yake yamezibika, hata asiweze kuwasikieni.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia
Shirikisha
Soma Isaya 59