Isaya 56:5
Isaya 56:5 Biblia Habari Njema (BHN)
nitampa nafasi maalumu na ya sifa katika nyumba yangu na kuta zake; nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: Nitampa jina la kukumbukwa daima, na ambalo halitafutwa kamwe.
Shirikisha
Soma Isaya 56Isaya 56:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Isaya 56