Isaya 48:16
Isaya 48:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Njoni karibu nami msikie jambo hili: Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri, tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.” Sasa, Bwana Mungu amenituma, na kunipa nguvu ya roho yake.
Shirikisha
Soma Isaya 48Isaya 48:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.
Shirikisha
Soma Isaya 48