Isaya 43:7
Isaya 43:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mmoja hujulikana kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu.”
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.
Shirikisha
Soma Isaya 43