Isaya 43:21 - Compare All Versions
Isaya 43:21 BHN (Biblia Habari Njema)
watu niliowaumba kwa ajili yangu mwenyewe, ili wazitangaze sifa zangu!’
Shirikisha
Isaya 43 BHNIsaya 43:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)
watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.
Shirikisha
Isaya 43 SRUVIsaya 43:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze sifa zangu.
Shirikisha
Isaya 43 SUVIsaya 43:21 NEN (Neno)
watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, ili wapate kutangaza sifa zangu.
Shirikisha
Isaya 43 NEN