Isaya 29:2
Isaya 29:2 Biblia Habari Njema (BHN)
lakini mimi Mungu nitauhuzunisha Yerusalemu, nako kutakuwa na vilio na maombolezo, mji wenyewe utakuwa kama madhabahu iliyolowa damu ya watu waliouawa.
Shirikisha
Soma Isaya 29Isaya 29:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ndipo nitamwudhi Arieli; kutakuwapo maombolezo na kilio; naye atakuwa kwangu kama Arieli.
Shirikisha
Soma Isaya 29