Isaya 29:17
Isaya 29:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Bado kidogo tu, msitu wa Lebanoni utageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, na shamba lenye rutuba kuwa msitu.
Shirikisha
Soma Isaya 29Isaya 29:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Si muda mdogo uliobaki, na Lebanoni itageuzwa kuwa shamba lizaalo sana, na lile shamba lizaalo sana litahesabiwa kuwa msitu?
Shirikisha
Soma Isaya 29