Isaya 21:2
Isaya 21:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeoneshwa maono ya kutisha, maono ya watu wa hila watendao hila, maono ya watu waangamizi wafanyao maangamizi. Pandeni juu vitani enyi Waelamu; shambulieni enyi Wamedi! Mungu atakomesha mateso yote yaliyoletwa na Babuloni.
Shirikisha
Soma Isaya 21Isaya 21:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeoneshwa maono magumu; atendaye hila anatenda hila, mharibu anaharibu. Panda juu, Ee Elamu; husuru, Ee Umedi; mimi ninakomesha maombolezo yake yote.
Shirikisha
Soma Isaya 21