Hosea 2:5
Hosea 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mama yao amefanya uzinzi, aliyewachukua mimba amefanya mambo ya aibu. Alisema; “Nitaambatana na wapenzi wangu, ambao hunipa chakula na maji, sufu na kitani, mafuta na divai.”
Shirikisha
Soma Hosea 2Hosea 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mama yao amezini; yeye aliyewachukua mimba ametenda mambo ya aibu; maana alisema, Nitafuatana na wapenzi wangu, wanipao chakula changu na maji yangu, sufu yangu na kitani yangu, mafuta yangu na vileo vyangu.
Shirikisha
Soma Hosea 2