Waebrania 4:5-6
Waebrania 4:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia mahali pangu pa pumziko.” Basi, hiyo ahadi ya kuingia bado ipo, maana wale waliohubiriwa Habari Njema pale awali walishindwa kuingia humo kwa sababu walikosa kutii.
Shirikisha
Soma Waebrania 4Waebrania 4:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na tena kunena hapa napo, Hawataingia pumzikoni mwangu. Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao
Shirikisha
Soma Waebrania 4