Waebrania 13:7-8
Waebrania 13:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakumbukeni viongozi wenu waliowatangazieni neno la Mungu. Fikirini juu ya mwenendo wao, mkaige imani yao. Yesu Kristo ni yuleyule jana, leo na milele.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao. Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.
Shirikisha
Soma Waebrania 13Waebrania 13:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao. Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.
Shirikisha
Soma Waebrania 13