Waebrania 11:8
Waebrania 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. Ingawa hakujua alikokuwa anakwenda, Abrahamu alihama.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Abrahamu alipoitwa aliitika, atoke aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.
Shirikisha
Soma Waebrania 11