Waebrania 11:4
Waebrania 11:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu bora kuliko Kaini. Kwa imani alishuhudiwa kuwa mwenye haki, Mungu mwenyewe akazishuhudia sadaka zake. Kwa imani bado ananena ingawa amekufa.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani Abeli alimtolea Mungu tambiko iliyokuwa bora kuliko ile ya Kaini. Kwa imani yake alikubaliwa na Mungu kuwa mwadilifu; Mungu mwenyewe alizikubali sadaka zake. Kwa imani yake ingawa alikufa, bado ananena.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Habili alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko Kaini; kwa hiyo alishuhudiwa kuwa ana haki; Mungu akazishuhudia sadaka zake, na kwa hiyo, ijapokuwa amekufa, angali akinena.
Shirikisha
Soma Waebrania 11