Waebrania 11:28
Waebrania 11:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani aliadhimisha siku ya Pasaka, akaamuru damu inyunyizwe juu ya milango, ili yule Malaika Mwangamizi asiwaue wazaliwa wa kwanza wa Israeli.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani akaifanya Pasaka, na kule kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wao.
Shirikisha
Soma Waebrania 11