Waebrania 11:23
Waebrania 11:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Musa, alipozaliwa, akafichwa miezi mitatu na wazazi wake, kwa sababu waliona kwamba ni mtoto mzuri; wala hawakuiogopa amri ya mfalme.
Shirikisha
Soma Waebrania 11