Waebrania 11:21
Waebrania 11:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa imani Yakobo alipokuwa anakufa, alimbariki kila mmoja wa mtoto wa Yusufu, akamwabudu Mungu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani Yakobo alipokuwa karibu kufa, aliwabariki kila mmoja wa wana wa Yosefu, akamwabudu Mungu akiegemea kichwa cha ile fimbo yake.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani Yakobo, alipokuwa karibu kufa, akambariki kila mmoja wa wana wa Yusufu, akaabudu akiegemea kichwa cha fimbo yake.
Shirikisha
Soma Waebrania 11