Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:10 - Compare All Versions

Waebrania 11:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana Abrahamu alikuwa akingojea mji wenye misingi imara, mji ambao Mungu mwenyewe ndiye fundi aliyeubuni na kuujenga.

Waebrania 11:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi, ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.

Waebrania 11:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi, ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.

Waebrania 11:10 NEN (Neno)

Kwa maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi ya kudumu, ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.