Waebrania 1:8
Waebrania 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kuhusu Mwana, Mungu alisema: “Kiti chako cha enzi, ee Mungu, chadumu milele na milele! Wewe wawatawala watu wako kwa haki.
Shirikisha
Soma Waebrania 1Waebrania 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kuhusu Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya haki.
Shirikisha
Soma Waebrania 1