Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 28:19 - Compare All Versions

Mwanzo 28:19 BHN (Biblia Habari Njema)

Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu.

Shirikisha
Mwanzo 28 BHN

Mwanzo 28:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.

Shirikisha
Mwanzo 28 SRUV

Mwanzo 28:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.

Shirikisha
Mwanzo 28 SUV

Mwanzo 28:19 NEN (Neno)

Mahali pale akapaita Betheli, ingawa mji ule hapo awali uliitwa Luzu.

Shirikisha
Mwanzo 28 NEN