Wagalatia 3:24-25
Wagalatia 3:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, hiyo sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani tufanywe waadilifu mbele yake Mungu. Lakini kwa vile ile imani imekwisha fika, sisi hatuko tena chini ya mlezi.
Shirikisha
Soma Wagalatia 3Wagalatia 3:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani. Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.
Shirikisha
Soma Wagalatia 3