Kutoka 2:3
Kutoka 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwa vile hakuweza kumficha zaidi ya muda huo, alitengeneza namna ya kikapu cha mafunjo, akakipaka namna ya lami, akamtia huyo mtoto ndani. Kisha akakiweka kikapu kando ya mto Nili kwenye majani.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akamtengenezea kikapu cha mafunjo akakitaliza kwa sifa na lami, akamtia mtoto ndani yake, akakiweka kwenye nyasi kando ya mto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2