Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:3

Kutoka 2:3 NENO

Lakini alipoona hawezi kuendelea kumficha, akamtengenezea kisafina cha mafunjo, akakipaka lami. Kisha akamweka huyo mtoto ndani yake, akakificha kwenye matete kando ya ukingo wa Mto Naili.

Video ya Kutoka 2:3