Kumbukumbu la Sheria 6:6-7
Kumbukumbu la Sheria 6:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wekeni mioyoni mwenu maneno hayo ninayowaamuru leo na kuwafundisha kwa uangalifu watoto wenu. Mtawasimulia muwapo mnakaa nyumbani au mlipo safarini au mnapolala au mnapoamka.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6