Kumbukumbu la Sheria 6:18
Kumbukumbu la Sheria 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe fanya yaliyo sawa, na mema, machoni pa BWANA; ili mpate kufanikiwa, nawe upate kuingia na kuimiliki nchi nzuri BWANA aliyowaapia baba zako
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6