Kumbukumbu la Sheria 6:15
Kumbukumbu la Sheria 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)
hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6