Kumbukumbu la Sheria 6:1
Kumbukumbu la Sheria 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hii ndiyo sheria, amri na hukumu, alizoziamuru BWANA, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayovuka kuimiliki
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6