Kumbukumbu la Sheria 4:20
Kumbukumbu la Sheria 4:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi ndio watu aliowakomboa kutoka Misri katika tanuri la chuma. Aliwatoeni huko ili muwe watu wake kama vile mlivyo hivi leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali BWANA amewatwaa ninyi, na kuwatoa katika tanuri ya chuma, katika Misri, mpate kuwa watu wa urithi kwake, kama mlivyo hivi leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4