Kumbukumbu la Sheria 4:20
Kumbukumbu la Sheria 4:20 BHN
Lakini nyinyi ndio watu aliowakomboa kutoka Misri katika tanuri la chuma. Aliwatoeni huko ili muwe watu wake kama vile mlivyo hivi leo.