Kumbukumbu la Sheria 33:23
Kumbukumbu la Sheria 33:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya BWANA; Umiliki magharibi na kusini.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33