Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 33:23

Kumbukumbu la Sheria 33:23 BHN

Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”