Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 31:6 - Compare All Versions

Kumbukumbu la Sheria 31:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Muwe imara na hodari, wala msiwaogope au kutishwa nao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ndiye anayekwenda pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa.”

Kumbukumbu la Sheria 31:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.

Kumbukumbu la Sheria 31:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.

Kumbukumbu la Sheria 31:6 NEN (Neno)

Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anaenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi.”