Kumbukumbu la Sheria 28:13
Kumbukumbu la Sheria 28:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mtaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mkishika amri zake ambazo ninawapeni leo na kuwa waangalifu kuzitekeleza
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28