Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 28:13

Kumbukumbu 28:13 NENO

BWANA atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya BWANA Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa makini, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini.