Wakolosai 2:16-17
Wakolosai 2:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, basi, msikubali kupewa masharti na mtu yeyote kuhusu vyakula au vinywaji, siku za sherehe, sikukuu ya mwezi mpya au Sabato. Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2