Wakolosai 1:7-8
Wakolosai 1:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mlijifunza juu ya neema ya Mungu kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yetu. Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama mlivyofundishwa na Epafra, mwenzi wetu mpendwa, aliye mhudumu mwaminifu wa Kristo kwa ajili yenu; naye alitueleza upendo wenu katika Roho.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1